JetX

Smartsoft

Game Image
Game Image

RTP:

94.5

Volatility:

High

Categories:

Crash

Release Date:

N/A

Minimum Stake:

TZS 10

Mapitio ya mchezo wa JetX – Jinsi ya kucheza, vipengele na vidokezo!

JetX ilikuwa moja ya michezo ya kwanza ya Crash kuzinduliwa duniani, na tangu hapo imekuwa na mafanikio makubwa miongoni mwa wachezaji wa kasino kutokana na kile inachotoa: uchezaji wa wachezaji wengi wenye ubunifu, mifumo rahisi, na RTP ya juu.

Katika michezo ya crash, unajua tayari: kadri inavyopaa juu zaidi, ndivyo uwezekano wa ushindi unavyoongezeka. Lengo lako ni kutoa dau (cash out) kabla ya ndege kulipuka, kwa sababu ikishalipuka, wachezaji wote waliobaki kwenye raundi hupoteza dau lao.

Jinsi ya kucheza JetX

Uchezaji ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua kiasi unachotaka kuweka dau kwenye raundi hiyo, bonyeza “Weka Dau,” kisha subiri muda unaoona unafaa kutoa dau lako.(cashout)

Kipengele kimoja cha kuvutia ni kwamba wachezaji wanapotoa dau(cashout), huwakilishwa na watu wanaoruka kwa parachuti kutoka kwenye ndege. Hii hukuwezesha kuona kwa wakati halisi nani amefanikiwa kutoa dau(cashout) kabla ya mlipuko na nani hakubahatika.

Ndege inapolipuka, ujumbe wa “Boom” huonekana kwenye skrini kwa muundo wa pikseli unaokumbusha michezo ya zamani ya Atari.

Kuelewa malipo

Kiasi unachopata mwishoni mwa kila raundi ni dau lako lililozidishwa na multiplier iliyoonyeshwa wakati unapotoa dau. Kwa mfano: Ukiweka dau la TZS 20, Na ukatoa dau(cashout) kwenye multiplier ya 2.00x, Utapata TZS 40. Kwa hiyo, kadri unavyochelewa kutoa dau(cashout), ndivyo zawadi yako inayowezekana inavyoongezeka.

Kudhibiti hatari ya kupoteza

Kama Hutaki kuhatarisha sana kupata multiplier kubwa? Hakuna shida.

Moja ya faida kuu za michezo ya crash ni kwamba wewe mwenyewe unaamua kiwango cha kutoa. Unaweza kucheza kwa tahadhari kwa dau ndogo na kutoa chini ya 2x. Au kuchukua hatari zaidi kwa dau kubwa na kusubiri multiplier kubwa. Chaguo ni lako kabisa!

Vipengele muhimu kabla ya kucheza

Auto Cash Out

Unaweza kuweka mchezo utoe dau kiotomatiki. Chagua tu dau lako na multiplier unayotaka kupata faida. Kiwango cha chini ni 1.35x. Dau lilelile litatumika kwenye raundi zinazofuata. Hata hivyo, bado unaweza kutoa dau mapema kwa mkono hata kama umeweka auto. Hata hivyo, bado unaweza kutoa dau mapema kwa mkono hata kama umeweka auto.

Dau Mbili (Double Bets)

Mchezo una paneli mbili za dau, hivyo unaweza kuweka dau mbili kwa wakati mmoja. Unaweza: Kuweka moja auto na nyingine manual. Au zote mbili auto lakini kwa multipliers tofauti. Hii inakupa mbinu nyingi za kuongeza nafasi ya kushinda.

Historia

Unaweza kuona multipliers za raundi zilizopita upande wa kushoto: Nyekundu: chini ya 1.5x. Kijani: juu ya 1.5x, Hii hukusaidia kuelewa mwenendo wa mchezo.

Dau za Wachezaji (Live Bets)

Fuatilia dau za wachezaji wengine: Kiasi walichoweka. Multiplier walipotoka. Ushindi wao

Chat

Unaweza kuchat na wachezaji wengine, Kushirikiana vidokezo. Kujadili raundi. Lakini ni hiari kabisa.

Vidokezo Muhimu

Angalia wengine wanavyocheza: Tumia sehemu ya live bets kujifunza mitindo tofauti ya wachezaji.

Fanya mazoezi kwanza: Jaribu bure ili kuelewa mchezo na mbinu mbalimbali

Free Bets kwa JetX (Beti za Bure)

Kwa sasa hakuna promosheni maalum ya JetX, lakini kwenye BongoBongo huwa kuna ofa mpya, cashback na beti za bure kila mara.

Tembelea ukurasa wa promosheni ili usikose ofa za kila wiki! Anza kucheza JetX leo! Kama unapenda michezo ya crash na unataka kujaribu JetX, jiandikishe kwenye BongoBongo na uanze kucheza. Unaweza kuanza na dau kuanzia TZS 10. Una nafasi ya kupata faida ya haraka kwa dau kidogo