
BongoBongo Telegram: Jamii Bora Zaidi Tanzania Inakungoja!
Usikose furaha ya mchezo! Jiunge na kundi letu rasmi la Telegram ili upate habari za kipekee, promosheni, na tips kibao ambazo hutapati sehemu nyingine. Shiriki betslips zako za ushindi na tusherehekee pamoja - hapa ndipo jamii inapoishi kweli!
Bure kujiunga, burudani imeboreshwa!
Kwa nini Ujiunge na Group?
Ukijiunga na Group unapata taarifa moja kwa moja:
- Promosheni za Kila Siku & Beti za Bure: Kuwa wa kwanza kuingia kwenye mashindano ya ndani.
- "Jinsi ya kufanya" videos: Maelezo kamili na mwongozo.
- Msaada wa Ndani: Pata msaada moja kwa moja kutoka kwa timu yetu.
- Dondoo za Ubashiri: Pata maarifa ya kitaalamu na taarifa moja kwa moja kutoka kwa timu ya Bongobongo.
- Shiriki Ubashiri Wako: Chambua mechi na shiriki maoni yako na timu na wachezaji wengine.
Fuata Channel Yetu Rasmi ya Telegram
Unataka habari bila kelele? Fuata channel yetu rasmi ya Telegram ambapo tunatangaza washindi wapya, spins za bure, promosheni, na matangazo makubwa moja kwa moja kwenye simu yako. Jiunge na group kupiga gumzo na jamii - fuata channel ili usikose taarifa yoyote!
Jamii inayoheshimika & Salama
Tunatekeleza kwa ukali sheria dhidi ya link za nje za matangazo, kuhakikisha kila ujumbe unaopokea ni muhimu na una thamani. Pia tunapiga marufuku lugha ya matusi na matangazo yasiyo ya mada, ili mazingira yaendelee kuwa 100% kuhusu mchezo na furaha.