Kwa Sasa Bongobongo tunapokea malipo ya wateja kwa watumiaji wa Vodacom na Airtel pekee. Bado tunafanyia kazi kuunganisha watumiaji wa Tigo.

Pakua app yetu BURE| BongoBongo TZ

Jinsi ya kupakua app ya BongoBongo kwenye Android

“BongoBongo-App”

App ya BongoBongo sasa inapatikana kwa watumiaji wa Android. Bofya picha hapo juu au tumia link moja kwa moja KUPAKUA app. PAKUA

KUMBUKA: Tafadhali ripoti hitilafu zozote utakazoziona kwa huduma kwa wateja ya BongoBongo ili tuendelee kuboresha app.