Kwa Sasa Bongobongo tunapokea malipo ya wateja kwa watumiaji wa Vodacom na Airtel pekee. Bado tunafanyia kazi kuunganisha watumiaji wa Tigo.

Jinsi ya kuomba kutoa pesa

Jinsi ya Kuomba Kutoa pesa

Hakuna makato KUWEKA au KUTOA PESA Bongobongo – mitandao ya Vodacom na Tigo wanaweza kukulipisha

  1. Ingia kwenye akaunti yako ya Bongobongo kwa kutumia namba yako ya simu na neno la siri. Bofya https://www.bongobongo.co.tz/login Kumbuka: Weka namba ya Simu kuanzia 255XXXXXXXXX

  2. Baada ya kuingia kwenye akaunti yako ya Bongobongo, bofya kwenye Wasifu Wako. Kisha chagua TOA PESA

Img

  1. Ukurasa wa Kutoa pesa

Img

Andika Kiasi unachotaka Kutoa na ubofye "Toa Pesa" ili kuthibitisha Kumbuka: Kiwango cha chini – Tsh 00000,kiwango cha juu ni Tsh 000000 kwa kila muamala

Kumbuka:

A) Pesa zilizotolewa zitatumwa kwa nambari YAKO YA SIMU. Iwapo una namba NYINGI za simu zilizosajiliwa kwenye akaunti yako ya Bongobongo, hakikisha umechagua nambari ya simu ambayo ungependa pesa zilizotolewa/zitumwe kabla ya kubofya “Toa pesa”.

B) Utoaji wa pesa unaweza kuombwa wakati wowote, na tutajitahidi kushughulikia mara moja au ndani ya Saa 1 baada ya kuwasilisha maombi. Muda wetu wa wastani wa kuchakata pesa ni takriban dakika 10-15 kulingana na jibu kutoka kwa mitandao ya Tigon a Vodacom.