Kwa Sasa Bongobongo tunapokea malipo ya wateja kwa watumiaji wa Vodacom na Airtel pekee. Bado tunafanyia kazi kuunganisha watumiaji wa Tigo.

Jinsi ya kuweka pesa kwenye Bongobongo Tanzani

Jinsiy a kuweka pesa

Jinsiy a kuweka pesa Hakuna makato KUWEKA au KUTOA PESA Bongobongo – mitandao ya Vodacom na Tigo wanaweza kukulipisha

**KUWEKA PESA VODACOM

  • Bonyeza 15000#
  • Chagua namba (To be confirmed after we do actual testing)

Kumbuka:

  • Mtoa huduma wako atatoza ada ya kuweka au kutoa pesa, hakikisha kuwa una salio la kutosha katika akaunti yako ya pesa ya simu (salio LAZIMA liwe zaidi ya kiasi cha unachotaka kuweka + ada ya kuweka).
  • Pesa uliyoweka itaonekana kwenye akaunti yako ya Bongobongo ndani ya dakika 10. Ikiwa haionyeshi kwa sababu yoyote, tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba - +255 767 225222
  • +255 769 111811

  • Miamala hufanyiwa kazi kati ya 07:00 hadi 23:59Hrs (huduma masaa 24 inakuja hivi karibuni)

*KUWEKA PESA TIGO -Bonyeza 150*01# -Chagua (To be confirmed after we do actual testing)

Kuingia kwenye akaunti yako ya Bongobongo: Bonyeza https://www.bongobongo.co.tz/login

Katika Akaunti yako ya Bongobongo, bofya Kitufe cha WEKA PESA.

Img

  • Ukurasa wa Kuweka Pesa A Chagua au Weka Kiasi unachotaka kuweka. Bofya "Weka Pesa" ili kuthibitisha B-Subiri dirisha la PIN litokeze kwenye skrini C-Ingiza PIN yako (Namba ya siri ya Mpesa/Tigo Pesa) ili Kuidhinisha 4- Utapokea maandishi ujumbe kwa sms muamala